Mahitaji ya msingi kabla ya kuanza ufugaji wa samaki
Samaki ni nini? Samaki ni mnyama mwenye damu baridi aishio majini (Anaweza kuwa na magamba au pasi na magamba). Nyama ya sasmaki imekuwa na mchango mkubwa sana katika lishe na chakula kiujumla. Samaki ni chanzo muhimu sana cha protini kwa…