Category Ufugaji samaki

Ufugaji wa samaki: Utangulizi

Ufugaji wa samaki ni kitengo cha uzalishaji kinachokuwa kwa kasi sana ulimwenguni. Hİİ İnatokana na upungufu mkubwa wa samakİ kutoka kwenye vyanzo asilia (mito, maziwa, bahari na mabwawa), hali inayopelekea ufugajİ wa samaki kuwa chanzo muhimu cha upatikanaji wa samaki.…